Challenge ya 2011; matches na results

kuna video clip moja nimeiona kwenye mtandao wa ethiosport.com mechi kati ya ethiopia na ivory coast, hawa ivorians wana kasi ya mchezo inabidi stars wawe makini sana
 
ni wakati sasa kwa vyombo vya habari vya bongo kuweka updates za matukio ya mechi online live coz mi nimeona video clips za waethiopia na KBC pia walionyesha penati ya mwisho ya wabongo walipoifunga uganda. Inakuaje sisi tunalala hivyo kila kitu tunapitwa, yaani hakuna hata tv moja inayopatikana online miaka 49 ya uhuru?!
 
haya sasa tulichokuwa tunakisubilia wengi muda simrefu kitanza mbaya zaidi Mkwere yuko uwanjani.....
 
Hii mechi ngoja nikaiangalie bar
kwenye big screen
huku nikiwa na Serengeti ndogo bariiiiiiidi
Tchao..
 
Nyimbo za taifa ndiyo zina imbwa sijui zitagoma tena
 
Hii mechi ngoja nikaiangalie bar
kwenye big screen
huku nikiwa na Serengeti ndogo bariiiiiiidi
Tchao..
usitusahau mkuu kutupa updates wengine sisi hatuwezi kuiona hiyo mechi ,tunategemea updates kutoka kwenu..
 
uwanja umefuri
Juma Kasenja, Nsajigwa, Mwasika, Juma Nyoso, Kelvin, Jabir Aziz, Salum Machaku, Nurdin Bakari, John Boko, Shaban Nditi...
 

wewe unazungumzia kuonekana online wakati asilimia kubwa ya tanzania hihii hatuoni tbc kwenye antena za kawaida na kwa wale tunaotumia satelite dishes TBC imepotea zaidi ya miezi 6 sasa?
 
hivi big screen ya uwanjani imewashwa? maana niliona mashabiki wakiwa uwanjani wakinyoosha vidole kuonyesha kama vile wanajiona
 
napmba tujuilishwe ni viongozi wepi wa upinzani wapo uwanjani kwa ajili ya kuipa shavu stars

jee silaha yupo?, Mbowe, Zitto, lipumba, Seif na wengineo ?
 
wewe unazungumzia kuonekana online wakati asilimia kubwa ya tanzania hihii hatuoni tbc kwenye antena za kawaida na kwa wale tunaotumia satelite dishes TBC imepotea zaidi ya miezi 6 sasa?

duh, Mungu ibariki Tanzania
 
ngassa yellow kadi yake ya kijinga imemfanya akose fainali, na bila kuwepo kwake uwanjani , ladha flani naamini itapungua, hata hivyo nina imani salum machaku atakava nafasi yake ipasavyo maana naona leo kaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…