PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
duh kumbe uganda vibonde ? au kwa sababu wamekosa kombe wameloose hope?
hao ethiopia nadhani nao ni wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh kumbe uganda vibonde ? au kwa sababu wamekosa kombe wameloose hope?
haya sasa tulichokuwa tunakisubilia wengi muda simrefu kitanza mbaya zaidi Mkwere yuko uwanjani.....
usitusahau mkuu kutupa updates wengine sisi hatuwezi kuiona hiyo mechi ,tunategemea updates kutoka kwenu..Hii mechi ngoja nikaiangalie bar
kwenye big screen
huku nikiwa na Serengeti ndogo bariiiiiiidi
Tchao..
haya sasa tulichokuwa tunakisubilia wengi muda simrefu kitanza mbaya zaidi Mkwere yuko uwanjani.....
ni wakati sasa kwa vyombo vya habari vya bongo kuweka updates za matukio ya mechi online live coz mi nimeona video clips za waethiopia na KBC pia walionyesha penati ya mwisho ya wabongo walipoifunga uganda. Inakuaje sisi tunalala hivyo kila kitu tunapitwa, yaani hakuna hata tv moja inayopatikana online miaka 49 ya uhuru?!
Sasa si ndiyo mlizi wa Kikwete unategemea asiwepo mlizi wake...jee sheikh yahya na yeye vp yupo hapo uwanjani ?
wewe unazungumzia kuonekana online wakati asilimia kubwa ya tanzania hihii hatuoni tbc kwenye antena za kawaida na kwa wale tunaotumia satelite dishes TBC imepotea zaidi ya miezi 6 sasa?