wakuu walio nje ya nchi wanaweza kuona mtanange wa fainali kupitia website ya ethiosports.com kwenye channel ya KBC , fungua link hii EthioSports - CECAFA Cup: Could Ethiopia avenge Uganda ukiifungua kuna video player pembeni kulia ndio inaonyesha hilo game, shukran!
JK hayupo uwanjani, Mgeni rasmi ni Katibu mkuu wa CUF/Mkamu wa 1 wa rais Zanzibar
vipi wakuu dakika ya ngapi?
vipi wakuu dakika ya ngapi?