Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Ivory coast wanapata goli ni yule yule kicheche alipiga shuti kaseja akatema mchezaji wa ivory coast akamalizia mungu mkubwa refa amelikataa
 
maalim seif sasa anakuwaje mgeni wa rasmi wakati hio ni timu ya tanganyika ?

au siku maalim yale mambo ya utanganyika na uzanzibari yameisha ?
sijui utaratibu ukoje lakini miminadhani kiongozi yoyote nchi wana chama anaweza kuwa mgeni rasmi au
 
inaonekana kiungo chetu kimezidiwa sana....wanachezea mpira watakavyo.....huyu cheche asipochungwa anaweza tuwashia cheche
 
Tumekoswa ni umahili wa kaseja ndiyo umetuokoa ni Corner
 
hii mipira ya kukimbiza inafaa ngasa angekuwepo, vijana wanamchecheto kweli, inabidi watulie sana
 
kweli kaseja bonge la kipaaaaaaa

maximo katuharibia sana tuuu
 
Back
Top Bottom