bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,149
- 3,209
Ha..na kweli! ushindi umekuja wakati mpoa!??
aisee mentor twende kwenye lile jukwaa letu . unahitajika saaana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha..na kweli! ushindi umekuja wakati mpoa!??
shukran kwa updates wakuu, hongera kili stars. Kumtoa huyo bingwa mtetezi kwenye semi inabidi wawaulize ndugu zao waliwabana vp mpaka wakafika nae kwenye matuta
shukran kwa updates wakuu, hongera kili stars. Kumtoa huyo bingwa mtetezi kwenye semi inabidi wawaulize ndugu zao waliwabana vp mpaka wakafika nae kwenye matuta
Bucho unamaanisha matani ama lipi..maana siku hizi nami najitahidi kuingia kotekote niwe Mr. JF 2011/2012aisee mentor twende kwenye lile jukwaa letu . unahitajika saaana.
sasa nimeamini kuwa kuwa Rais wa nchi ndio mkosi wetu, leo hayupo tumeshinda
Kama unapoint vile!!!sasa nimeamini kuwa kuwa Rais wa nchi ndio mkosi wetu, leo hayupo tumeshinda
Labda kule kuangukaanguka kwake (JK) wakti wa kampeni anakuleta uwanjani hivo timu nayo huangukanaguka
Kwani tuancheza na Uganda kwenye semis? Mie nilizani Ivory Coast.
Acheni matani ya namna hiyo. Mbona JK alikuwako wakati tunacheza na timu tuliyokuwa tunaiogopa Burkinafaso na tukashinda 2-1. Muwe wanasayansi kidogo katika kutoa maoni.
Ni TanganyikaTanzania 1 -Rwanda 0..final whistle!