Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Ngasa kapewa kadi ya njano ya kijinga kweli, kashika mpira bila sababu ya yoyote hivyo anaweza kukosa mechi inayofata
 
beki ya Tanganyika iinachanganyana, waganda wanatushabulia ...Mungu ibariki Tanganyika
 
Refa ameumia, anapata matibabu, naona kuna kitu kilingia machoni
 
Hii ngoma ni penalti tu kama niliyotabiri mungu tusaidie twende finali
 
Back
Top Bottom