Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha umejua kunichekesha yaani unakandamiza pale kwenye rafiki!!!!Hahaaa. Kwani rafiki hawezi kumjali rafiki yake.
Huyo ni rafiki tu Mkuu.
Hahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.
Hahaha umejua kunichekesha yaani unakandamiza pale kwenye rafiki!!!!
Anyway friendzone inaboa, mtoe pande hiyo jamaa mfikishe kwenye endzone.
Duuh! Jamaani Castr.Hahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.
[emoji23][emoji23] bado naload unachojaribu kukitafutaHahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.
Hahaha uanaume ni kusaidiana nataka nikutoe kwenye friendzone[emoji23][emoji23] bado naload unachojaribu kukitafuta
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee!! Naona unajaribu kunipigia pande la hatariHahaha uanaume ni kusaidiana nataka nikutoe kwenye friendzone