Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
Mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti. Challenges nilizokumbana nazo humu zimenifanya kuwa mtu makinizaidi hivyo sina budi kushukuru kwa yote yaliyonikuta. Labda niende moja kwa moja kwa kile natakakushare nanyi then nitachukua fursa kuagana rasmi. Challenges zote zimesababishwa na watu ingawainawezekana na mimi nimechangia kwa namna moja au nyingine.
A.Challenge.
Nilimzoeahuyu mtu humu humu nilijua tutakuwa marafiki wazuri wa kushauriana na hatakupiga story ila sikuamini kuwa huyu mtu ni KUWADI (Alinitafutia mwanaume). Sikupenda hayo mambo na mwisho wa sikutumekuwa maadui.
B.challenge
Nilimchukulia kama ndugu yangu, nilikuwa kimbilio lake kila alipohitajiushauri. Nilimshirikisha pia baadhi ya mambo yangu, hatukuwahi kugombana hatakidogo. Rafiki huyu aliniambia ana shida ya pesa (nimkopeshe). Nilichukulia shidayake ni yangu, husninyo nikavunja kibubu…………
Dahhhh, sahivi hatuwasiliani tena, hapigi wala hatumi msg , nimeshapigwakalenda mpaka nimechoka na sina matumaini tena ya kulipwa pesa yangu. Imeniumiza
C. Challenge
Hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla JF, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.

D. Challenge
Huyu nae nilifikiri ni kijana mwenzangu , tukapanga kuonana kwa nianjema. Dah, sikuamini kama ni kibabu tena karibia mara 3 ya umri wangu. Kibabu hiki baada ya pale kimeanza usumbufukinataka tu DO. Tumeishia kugombana nahatuna mawasiliano tena.

E. challenge
Huyu alikuwa ni msumbufu sana kwenyePMs. Tumesumbuana mwisho wa siku akakata tamaa. Muda si mrefu alibadili IDakawa anatumia ya Kike, watu wote mpaka sasa wanajua ni mwanamke na kabla ya hapo pia walikuwa wanajua ni mwanaume. Nashindwakuelewa ni mwanamke au mwanaume.

F. challenge
Huyu nae alikuwa ni rafiki ingawa sikupenda mazoe naeya ukaribu. nilishindwa kuelew alikuwa ananipeleleza au lah, aliniomba nambayangu nikamnyima, baada ya wiki ananipigia na kudai yeye ni (……..) wa JF, sikupenda hiyo kitu.
Najua wapinimekosea. Nataka kuzaliwa upya. Nimedecide kuchange maisha yangu ya kimtandao. Najua nina familyhapa: Mtambuzi- baba, mamdenyi-mama, kaizer-uncle, ashadii-aunt,cantalisia-sister, mwali-cousin, dark city & asprin – mababu, sweetlady-swahibana nipo na marafiki kibao pamoja na mashemeji (mnajijua.) My online husband – judgement, nitakumiss sana ilanimekuruhusu uoe mke mwingine maana najua maisha ya usingle hautoyaweza. lol
Nitakuwa nanyikwa siku tatu kuanzia leo kujibucomments zenu then nitomba PARMANENT BAN kutoka kwa mods. Nitakuwa nasomahabari (najua humu ni kisima cha habari) kama guest na nitajoin tena miakaijayo ingawa kwa kipindi hicho sitokuwa the same husninyo as akili yangu itakuwaya kiutu uzima zaidi.
Nafikiri mtakuwammejifunza kitu kwenye hii thread pia nitakuwa nimeondoa maswali ya watukujiuliza kwa nini nimekuwa banned. Wale members wenzagu wa JE saccostutakutana kwenye vikao au ofisini kwenye kuchukua na kurudisha mikopo, waleambao tayari tumekuwa na mahusiano mazuri nje ya jf tutakeep in touch, waleambao tulipanga kuonana na kufahamiana nawapa pole (haitowezekana tena). Nawatakiakila la heri na mungu awalinde. Nawapenda sana.
 
Hahaha........................ .......................hii ndo Jf.............. ulimwengu ni darasa liso mwalimu
 
interesting......
ni kama jf ina watu with all type of craziness hivi kumbee....
 
Husninyo dear;
Kwanza nashukuru kwa kushare experience yako, imetusaidia sana na sisi ambao relatively ni wageni hapa. So far nimetoa contact zangu kwa only one person na sitarudia tena; asante kwa warning hasa ya hao wanaojifanya wanawake kumbe ni wanaume!

I real wish tungejuana zaidi ya hapa; but it's life na l think this way ni nzuri zaidi!

Ukija kuvingine, pls may l still be ur friend?
 

na hiyo contact uliyotoa ibadili haraka
 

unakimbia challenge 6 JF sio njia muafaka ya kuzikabili. Maishani kuna challenge nyingi na ngumu/kali zaidi ya hizi, nazo utazikimbia?
 
na hiyo contact uliyotoa ibadili haraka

How??? Nichange fone no, name n everything? It is impossible. I hope no damage will be done, kwa muda ninamuamini niliyempa!
 
unakimbia challenge 6 JF sio njia muafaka ya kuzikabili. Maishani kuna challenge nyingi na ngumu/kali zaidi ya hizi, nazo utazikimbia?

I hope atakuja kivingine!
Unajua some of us r honest n naive; so tunajifunza baada ya kutendwa (not necessarily me)
 
NO wonder JF,kuna kenge,mamba etc etc,just name anything na such types wapo JF,sasa wewe umekaa chini,bearing in mind time is limited na kuandika yote haya,most of which ni ya kutunga-life is more then daydreaming and attention seeking-GROW UP or throw your frustuations elsewhere
 
Siku nyingine usifie jf ilikupa mambo matamu na mazuri. Ulipenda kukopesha..umeliwa na ulitamani wanaume usiowaelewa..wamekuumiza, hata nje ya jf yatakukuta. Tunasonga mbele
 
but na hao watu wakisema their side of stories....tunaweza kubaki mdomo wazi
mfano huyo kibabu
inaweza kuwa na Husninyo alimjaza sifa za uwongo.....

ohhh niko kama Beyonce only more sexy......kibabu cha watu kikauza mashamba huko
kwenda kumuona Husninyo....akakuta labda the younger version ya bi kidude lol
 

Wewe ndio unaonekana una frustuations; mdada wa watu amekuwa mstaarabu na kuaga, kuliko tungeanza kufikiri amefariki kama ambavyo anamfikiria rafiki yake kwenye challenge C if lm not mistaken!
 
jf ni zaidi ya uifikisriavyo,asante dada kwa kushare experience
 
Sasa mjukuu, ukifa usisahau kunistua nije nikuzike. Mi sina mpango wa kufa hivi karibuni. Nikiwa na mpango huo ntakudipu ili unipigie nikupe taratibu za mazishi yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…