Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti. Challenges nilizokumbana nazo humu zimenifanya kuwa mtu makinizaidi hivyo sina budi kushukuru kwa yote yaliyonikuta. Labda niende moja kwa moja kwa kile natakakushare nanyi then nitachukua fursa kuagana rasmi. Challenges zote zimesababishwa na watu ingawainawezekana na mimi nimechangia kwa namna moja au nyingine.
A.Challenge.
Nilimzoeahuyu mtu humu humu nilijua tutakuwa marafiki wazuri wa kushauriana na hatakupiga story ila sikuamini kuwa huyu mtu ni KUWADI (Alinitafutia mwanaume). Sikupenda hayo mambo na mwisho wa sikutumekuwa maadui.
B.challenge
Nilimchukulia kama ndugu yangu, nilikuwa kimbilio lake kila alipohitajiushauri. Nilimshirikisha pia baadhi ya mambo yangu, hatukuwahi kugombana hatakidogo. Rafiki huyu aliniambia ana shida ya pesa (nimkopeshe). Nilichukulia shidayake ni yangu, husninyo nikavunja kibubu
Dahhhh, sahivi hatuwasiliani tena, hapigi wala hatumi msg , nimeshapigwakalenda mpaka nimechoka na sina matumaini tena ya kulipwa pesa yangu. Imeniumiza
C. Challenge
Hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla JF, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.
D. Challenge
Huyu nae nilifikiri ni kijana mwenzangu , tukapanga kuonana kwa nianjema. Dah, sikuamini kama ni kibabu tena karibia mara 3 ya umri wangu. Kibabu hiki baada ya pale kimeanza usumbufukinataka tu DO. Tumeishia kugombana nahatuna mawasiliano tena.
E. challenge
Huyu alikuwa ni msumbufu sana kwenyePMs. Tumesumbuana mwisho wa siku akakata tamaa. Muda si mrefu alibadili IDakawa anatumia ya Kike, watu wote mpaka sasa wanajua ni mwanamke na kabla ya hapo pia walikuwa wanajua ni mwanaume. Nashindwakuelewa ni mwanamke au mwanaume.
F. challenge
Huyu nae alikuwa ni rafiki ingawa sikupenda mazoe naeya ukaribu. nilishindwa kuelew alikuwa ananipeleleza au lah, aliniomba nambayangu nikamnyima, baada ya wiki ananipigia na kudai yeye ni ( ..) wa JF, sikupenda hiyo kitu.
Najua wapinimekosea. Nataka kuzaliwa upya. Nimedecide kuchange maisha yangu ya kimtandao. Najua nina familyhapa: Mtambuzi- baba, mamdenyi-mama, kaizer-uncle, ashadii-aunt,cantalisia-sister, mwali-cousin, dark city & asprin mababu, sweetlady-swahibana nipo na marafiki kibao pamoja na mashemeji (mnajijua.) My online husband judgement, nitakumiss sana ilanimekuruhusu uoe mke mwingine maana najua maisha ya usingle hautoyaweza. lol
Nitakuwa nanyikwa siku tatu kuanzia leo kujibucomments zenu then nitomba PARMANENT BAN kutoka kwa mods. Nitakuwa nasomahabari (najua humu ni kisima cha habari) kama guest na nitajoin tena miakaijayo ingawa kwa kipindi hicho sitokuwa the same husninyo as akili yangu itakuwaya kiutu uzima zaidi.
Nafikiri mtakuwammejifunza kitu kwenye hii thread pia nitakuwa nimeondoa maswali ya watukujiuliza kwa nini nimekuwa banned. Wale members wenzagu wa JE saccostutakutana kwenye vikao au ofisini kwenye kuchukua na kurudisha mikopo, waleambao tayari tumekuwa na mahusiano mazuri nje ya jf tutakeep in touch, waleambao tulipanga kuonana na kufahamiana nawapa pole (haitowezekana tena). Nawatakiakila la heri na mungu awalinde. Nawapenda sana.