Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Mtakatifu Ivuga, unatumia kitu inaitwa "reverse psychology". Mimi yangu macho!

sio hivyo mkuu. ni logic ndogo tu na hapa sichezi na akili ya mtu yoyote, sio kwamba huyu Mwali nimemdekeza akifanya kosa tunakaa chini tunaongea bahati nzuri sipigagi ..na ndio maana nimechagua mtu ambaye hanisumbuagi, she is more than every thing dude
 
Last edited by a moderator:
R . I . P
aaaaah sory poa maisha mema!
 
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.

Mi naona nna maswali kibaoooo.....ila labda nikuulize moja,ina maana hao watu wote umejuana nao kupitia JF na mlianzia kwenye PM???wewe hukuwa na woga wa kuchat na watu wengiii usiowajua na kufikia hatua ya kukutana nao wote hao??????!!!strange
 
Hii ni sob story tu, kwa mtazamo wangu.

Manake kama kweli mtu yamekushinda ama unasepa kimya kimya au unakuja tu na jina jingine.

As simple as that! I don't owe anyone a goodbye.
Jamani Nyani Ngabu hata wewe humbembelezi Mwajuma abakie?
 
Last edited by a moderator:
Mi naona nna maswali kibaoooo.....ila labda nikuulize moja,ina maana hao watu wote umejuana nao kupitia JF na mlianzia kwenye PM???wewe hukuwa na woga wa kuchat na watu wengiii usiowajua na kufikia hatua ya kukutana nao wote hao??????!!!strange

Yummy wewe! Kwani amesema amekutana nao wote?

Afu nakusalimu.
 
Last edited by a moderator:
I just call it they way I see it.

Kuna msemo f'lani hivi...wanaoondoka hawaagi na wanaoaga hawandoki. This has proven to be somewhat true....
Akiondoka bila kuaga tutajiuliza maswali yasokuwa na majibu!

Kuaga ni vizuri zaidi Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
mh,nimejifunza kitu kutokana na hii thread. asante sana hus! n-way nakutakia maisha mema
 
Mi naona nna maswali kibaoooo.....ila labda nikuulize moja,ina maana hao watu wote umejuana nao kupitia JF na mlianzia kwenye PM???wewe hukuwa na woga wa kuchat na watu wengiii usiowajua na kufikia hatua ya kukutana nao wote hao??????!!!strange

Teh teh teh...it sounds kinda peculiar, doesn't it?

Mimi muoga sana wa kukutana mijitu ya humu. Huwa sitaki na sipendi kabisa save for 3 people one of whom was just by pure happenstance and he seems to be a real class act.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom