Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mtakatifu Ivuga, unatumia kitu inaitwa "reverse psychology". Mimi yangu macho!
umetumia uhuru wako wa kuongea. Ahsante.
Hii ni sob story tu, kwa mtazamo wangu.
Manake kama kweli mtu yamekushinda ama unasepa kimya kimya au unakuja tu na jina jingine.
As simple as that! I don't owe anyone a goodbye.
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.
Jamani Nyani Ngabu hata wewe humbembelezi Mwajuma abakie?Hii ni sob story tu, kwa mtazamo wangu.
Manake kama kweli mtu yamekushinda ama unasepa kimya kimya au unakuja tu na jina jingine.
As simple as that! I don't owe anyone a goodbye.
Lol....KANNAKT hata mimi jamani???
so rude
Mi naona nna maswali kibaoooo.....ila labda nikuulize moja,ina maana hao watu wote umejuana nao kupitia JF na mlianzia kwenye PM???wewe hukuwa na woga wa kuchat na watu wengiii usiowajua na kufikia hatua ya kukutana nao wote hao??????!!!strange
Jamani Nyani Ngabu hata wewe humbembelezi Mwajuma abakie?
Akiondoka bila kuaga tutajiuliza maswali yasokuwa na majibu!I just call it they way I see it.
Kuna msemo f'lani hivi...wanaoondoka hawaagi na wanaoaga hawandoki. This has proven to be somewhat true....
Duuh! Usipomuona ndio utaamini, mbembeleze bana.Mimi bado sijashawishika kabisa kuwa Mwajei anaondoka. Neno muhimu hapo ni "mimi".
Huyu napatwa na hisia kuwa atakuwepo tu hapa.
Mi naona nna maswali kibaoooo.....ila labda nikuulize moja,ina maana hao watu wote umejuana nao kupitia JF na mlianzia kwenye PM???wewe hukuwa na woga wa kuchat na watu wengiii usiowajua na kufikia hatua ya kukutana nao wote hao??????!!!strange
Hahahaha! Kwani wewe ni kibabu?..lol.Kwanza nimemmaindi Mwajuma leo...
Huyo kibabu nimejihisi ananizungumzia mimi...