Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Mwali......usisahau tu kuwa ni kawaida kwa kuni ya akiba kuicheka ile inayoungua!!!
 
Last edited by a moderator:
Ungempa tu huyo babu uone kama ng'ombe anazeeka maini
 
hahaha! Huyu dada hua ananichanganya nikimuona live!mwalim hapo nilipitiwa kidogo.

Mkuu challenge nyengine ndo kama hizi, tunajisahau sana tunapozungumzia watu wengine.

Hapa mpaka sote tujue kuwa unamjua nje ya jukwaa?!

Litake jukwaa radhi haraka sana ......:tape:
 
Kipipi nimesema MODS watoe ruhusa majina ya wahusika yawekwe hadharani maana yanaweza kuwekwa wakaamua kuifuta hii thread.
this is a very interesting thread

It amounts to web/cyber bullying, or even sexual harassment under the umbrella ya majina feki

i am very interested kujua JF family itasemaje kuhusu hili

in a way ni appeal to the community for a fair trade
 
Reactions: EMT
Au ni wewe EMT? maana na hiyo signature yako naona inaendana na mada. lolest

To put it another way: If you are not satisfied with us just tell us, but if you are satisfied, happy and enjoyed our services and our policies, let others know and bring them over.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Mkuu challenge nyengine ndo kama hizi, tunajisahau sana tunapozungumzia watu wengine.

Hapa mpaka sote tujue kuwa unamjua nje ya jukwaa?!

Litake jukwaa radhi haraka sana ......:tape:


hahaha mwalimu naona unabana kote kote!
Hapo niombe radhi kwa ajili gani? Sbb namjua?
 
this is a very interesting thread

It amounts to web/cyber bullying, or even sexual harassment under the umbrella ya majina feki

i am very interested kujua JF family itasemaje kuhusu hili

in a way ni appeal to the community for a fair trade


kamanda what makes it interesting why would someone want names? Maybe a challenge that one on the list?
 
hahaha mwalimu naona unabana kote kote!
Hapo niombe radhi kwa ajili gani? Sbb namjua?

Sio sababu unamjua, sababu kosa ulilolifanya ndilo humo humo kati ya yaliyoanzishiwa thread.

Uliomba ruhusa utaje kuwa unamjua?
 
Good for you; ndio maana namsifu Husy kwa moyo wake wa upendo!

yaani ametusaidia sana Kaunga,binafsi nilikua nadhani Jf ina tofauti kidogo na mitandao mingine kumbe ni the same tu..solution ni kuepuka mazoea yaliyo vuka mipaka na kutokumuamini mtu,ya Jf yaishie hapa hapa hamna hata haja ya kufahamiana zaidi ya hapa..
 
Last edited by a moderator:
Umeanza kwa kusema:
Mimi naona anacomplain.

As independent free thinker, it is obvious hizo ni instances na extrapolation ninazozitoa kichwani mwangu.


Then unakuja kumalizia kwa kusema:
normal procedure ni kutotengeza assumptions kwa vitu vilivo wazi.

Practice what you preach, don't extrapolate!
 
Hichi kibuti cha aina yake. Walau kakuruhusu kuoa, pole babangu.
 
Last edited by a moderator:
Oyaa acha kutubania bana....

Kubana kitu gani,nyie ndo mnawasumbua dada zetu humu,bora amechapa lapa,ila usikonde babu @Aspirin amesanuka anzisha chimbo lingine!
 
hahaha wish u could see her. Your bone will do the talking not you.


Acheni udhalilishaji wa kijinsia. Manake sasa unachokitafuta aje mwengine aanze kumuumbua Husninyo tu.

Hamuwezi kuwazungumzia wanawake bila ya kuwaza ngono?
 
Sio sababu unamjua, sababu kosa ulilolifanya ndilo humo humo kati ya yaliyoanzishiwa thread.

Uliomba ruhusa utaje kuwa unamjua?


ungepotezea hamna ambae angeng'amua me inclusive.
Wewe ndie umenifanya nitambue kua imeonesha hivo lakini sikua na nia hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…