Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Mwali......usisahau tu kuwa ni kawaida kwa kuni ya akiba kuicheka ile inayoungua!!!Kwani kaomba sympathy ya mtu humu ndani? au mi sijaelewa
Kaja kutuaga na ametoa sababu za kuondoka, she didn't complain
Na amesema wazi kua yaliotokea anahisi ameyakaribisha somehow
Sasa hayo ya kusema sio mtoto na analia lia umeyatoa wapi tena?
Soma mada kwanza kabla ya kuchangia mkuu. Just normal procedure
Last edited by a moderator: