Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

Heavy Metal

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
881
Reaction score
2,077
Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.

Screenshot_20230521-162034.jpg
 
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia Clatous Chama mechi 03, na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa klabu ya Ruvu Shooting, Abal Kassim Suleiman [emoji116]tukio ambalo lilitokea wakati wachezaji hao hawagombei mpira, jambo lililosababisha mwamuzi wa mchezo ashindwe kuona.

Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 41:5(5.2) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.
Screenshot_20230521-162127.jpg
 
Saizi yanga ni kama malasti born wanadeka kwa jeuri ya mama mwenye mjengo.

Ratiba ya ligi imesogezwa mbele kwajili yao.

Malalamiko ya Yanga dhidi ya uhuni wa chama yamefanyiwa kazi.
 
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia Clatous Chama mechi 03, na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa klabu ya Ruvu Shooting, Abal Kassim Suleiman 👇



tukio ambalo lilitokea wakati wachezaji hao hawagombei mpira, jambo lililosababisha mwamuzi wa mchezo ashindwe kuona.



Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 41:5(5.2) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.
F0ADAAC2-E600-4163-BB64-31F106B77004.jpeg
 
Hv mchezaji akipigwa faini, kile kiasi hua analipa yeye au club inahusika kumlipia?
 
Back
Top Bottom