Ingekuwa Makolodunduka bado wanawania Ubingwa wasingefanya haraka hivi.Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
View attachment 2630116