Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Nimeshindwa kuweka video hiyo picha ni kuzoomHiyo picha, utafikiri tuko mwaka 1975.
Ipi hiyo Sasa?Kwa hiyo ngao ya jamii ataikosa?
Wanalipa club nadhani alafu hao club watajua namna ya kudili na uliyepewa adhabu...Hv mchezaji akipigwa faini, kile kiasi hua analipa yeye au club inahusika kumlipia?
πππWanalipa club nadhani alafu hao club watajua namna ya kudili na uliyepewa adhabu...
Ngao ya JAMII ya mwaka gani ndugu au tayari umeshaipa ubingwa Yanga kwenye FA?Kwa hiyo ngao ya jamii ataikosa?