Ingekuwa Makolodunduka bado wanawania Ubingwa wasingefanya haraka hivi.Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
View attachment 2630116
Kwamba hakumkanyaga?Siku hizi toka msimu ulioisha Yanga kainunua TFF na bodi ya league
Umbumbumbu ni kipaji [emoji119][emoji3]Siku hizi toka msimu ulioisha Yanga kainunua TFF na bodi ya league