MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Yanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi.
Hongereni sana watani zetu Yanga, sisi huku tunamchezaj anaitwa Chama lakini ili afanikiwe zaidi anahitaji kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwa Makambo, jamaa anajua nini anafanya.
Hongereni tena watani zetu Yanga.