Chama akitaka kucheza Ulaya,inabidi akubali kujifunza kwa Makambo

Chama akitaka kucheza Ulaya,inabidi akubali kujifunza kwa Makambo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Yanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi.
Hongereni sana watani zetu Yanga, sisi huku tunamchezaj anaitwa Chama lakini ili afanikiwe zaidi anahitaji kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwa Makambo, jamaa anajua nini anafanya.
Hongereni tena watani zetu Yanga.
 
Ebu acha kumshushia heshima chama kwa kiasi hicho
 
  • Thanks
Reactions: Bal
We we hakika in mbumbumbu fc,ndo maana ndugu yenu Rage siku hizi anawaita matapishi
Hivi wakija FIFA au CAF hata UEFA Tanzania waulizeni timu gani yenye wachezaji bora na wenye individual skills nyingi, au ni timu gani inacheza mpira haswaa (mpira wa Barcelona), ama ni timu gani inaogopwa Tanzania utajibu timu gani?
 
Yanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi.
Hongereni sana watani zetu Yanga, sisi huku tunamchezaj anaitwa Chama lakini ili afanikiwe zaidi anahitaji kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwa Makambo, jamaa anajua nini anafanya.
Hongereni tena watani zetu Yanga.
Umeandika nini sasa hapo, labda hasiesoma kbsa Ndo anaweza akakuelewa
 
Fact ndugu,timu inatishaje na kiwango cha juu sana wakati kuna timu juu yake zinazofanya vema zaidi yake kwenye mashindano hayohayo?
Kiuhalisia simba inazizidi timu zote za Tanzania kwa sasa kuanzia talented players mpaka fedha. Mkuu kubaliana na hili hata kama wewe ni chura😝😝😋 Yanga ina mashindano mawili tu labda na mapinduzi ijitokeze haina mashindano yoyote ya kimataifa.
.
Ukitaka soka la burudani la kukupa raha roho mpaka mwili hamia simba mtani.
 
Back
Top Bottom