MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kimataifa ya wapi? Sijakuelewa aseeChama yule anaupiga mwingi kimataifa?
We we hakika in mbumbumbu fc,ndo maana ndugu yenu Rage siku hizi anawaita matapishiWewe sio simba wewe ni ndala fc!
Hakuna mkristo anaeabudu kama muislam wala hakuna muislam anaeabudu kama mkristo.
Hivi wakija FIFA au CAF hata UEFA Tanzania waulizeni timu gani yenye wachezaji bora na wenye individual skills nyingi, au ni timu gani inacheza mpira haswaa (mpira wa Barcelona), ama ni timu gani inaogopwa Tanzania utajibu timu gani?We we hakika in mbumbumbu fc,ndo maana ndugu yenu Rage siku hizi anawaita matapishi
Swaziland.Kimataifa ya wapi? Sijakuelewa asee
YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team"Hivi wakija FIFA au CAF hata UEFA Tanzania waulizeni timu gani yenye wachezaji bora na wenye individual skills nyingi, au ni timu gani inacheza mpira haswaa (mpira wa Barcelona), ama ni timu gani inaogopwa Tanzania utajibu timu gani?
Aaah labda huko, maana kule kunasifika kwa wanawake wazuri na ukimwi siyo mpira,hapo umenena vemaSwaziland.
Wewe sio simba wewe ni ndala fc!
Hakuna mkristo anaeabudu kama muislam wala hakuna muislam anaeabudu kama mkristo.
Umeandika nini sasa hapo, labda hasiesoma kbsa Ndo anaweza akakuelewaYanga walibahatika sana kupata saini ya huyu mchezaji, mimi Simba lakini Makambo ni habari nyingine, huyu jamaa akicheza timu kama Totenham au Man U basi naona kabisa watu watakavyosugua benchi.
Hongereni sana watani zetu Yanga, sisi huku tunamchezaj anaitwa Chama lakini ili afanikiwe zaidi anahitaji kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwa Makambo, jamaa anajua nini anafanya.
Hongereni tena watani zetu Yanga.
Kweli mtoa mada ni chura f.c Chama ni habari ya jiji!!!Wewe sio simba wewe ni ndala fc!
Hakuna mkristo anaeabudu kama muislam wala hakuna muislam anaeabudu kama mkristo.
Jibu lako ni lakinazi au lina uhalisia?YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team"
Fact ndugu,timu inatishaje na kiwango cha juu sana wakati kuna timu juu yake zinazofanya vema zaidi yake kwenye mashindano hayohayo?Jibu lako ni lakinazi au lina uhalisia?
Kiuhalisia simba inazizidi timu zote za Tanzania kwa sasa kuanzia talented players mpaka fedha. Mkuu kubaliana na hili hata kama wewe ni chura😝😝😋 Yanga ina mashindano mawili tu labda na mapinduzi ijitokeze haina mashindano yoyote ya kimataifa.Fact ndugu,timu inatishaje na kiwango cha juu sana wakati kuna timu juu yake zinazofanya vema zaidi yake kwenye mashindano hayohayo?