Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kama simba namna wanavyocheza sasa ndio utakua mfumo wao, basi ustaa wa chama simba umekwisha, Chama ni star kwa timu inayocheza mpira wa pasi nyingi.Kwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba. Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa
Aisee tuwaheshimu hao jamaa zetu wanakomaa miaka na miakaTiyari ameshafanya yake...lakini nasikia hata miqusone Mambo ni mazito uko tuwa heshimu Sana Hamid Mao na msuva kule ni kaa la Moto wadau
Ngoja aje kwa tusiojua tumpe majina kibao. Kule kaenda kwa wanaojua kaishia kuchoma mahindiKwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba. Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa
Niende nje ya nchi mbuzi wangu awachunge nano huku kijijini?Wewe umeshaenda nje ya nchi ipi ukapata mafanikio?
Kama una mbuzi wa kuchunga, kwanini unaona mwanaume aliyeenda kutafuta pesa /maisha nje ya nchi unamdharau , wewe unayechunga mbuzi ndio unajiona una thamani sana sioNiende nje ya nchi mbuzi wangu awachunge nano huku kijijini?
Ndiyo mpira ulivyo mkuu. Mpira unabeba mambo mengi. Japo sisi mashabiki tunaangalia tu performance ya uwanjani na kuamua Ni mchezaji aliyefeli. Lkn hatujui nini sababu za kufeli kwake. Pengine Mel na mbinu zake, mazingira, vyakula, saikolojia na utamaduni was timu, uongozi wa klabu nkKwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba.
Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa.
Ndiyo mpira ulivyo mkuu. Mpira unabeba mambo mengi. Japo sisi mashabiki tunaangalia tu performance ya uwanjani na kuamua Ni mchezaji aliyefeli. Lkn hatujui nini sababu za kufeli kwake. Pengine Mwl na mbinu zake, mazingira, vyakula, saikolojia na utamaduni was timu, uongozi wa klabu nkKwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba.
Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa.
Sawa acha arejee kwenye ligi yetu mbovu aendelee kuwanyoosha wakina Al ahly na As Vita.Swala la kwamba alifanya vizuri alipokuwa akicheza na Al Ahli, Vita nk sio kielelezo kwamba alikuwa mzuri kihivyo.
Leo hii hata Bayern wacheze na Coastal Union au Kagera bado tu kuna wachezaji wa hizo timu wataonekana ni nyota lakini sasa wapereke Ujerumani kama watanyanyua hata mguu uwanjani.
Tunamuona ni mzuri kwa sababu ligi yetu ndio kiwango chake kilivyo lakini akienda kwa wajuaji kutuzidi hana lolote, anabaki kuchoma [emoji535] tu.
Waarabu ni watu wabaguzi sana hata Walter bwalya alipitia anayopitia miquisoni yaani, waarabu umuanzishe mtu mweusi kwenye team watakuvumilia kwa mda tu ila ukifanya kosa kidogo tu wanaanza kelele.Tiyari ameshafanya yake...lakini nasikia hata miqusone Mambo ni mazito uko tuwa heshimu Sana Hamid Mao na msuva kule ni kaa la Moto wadau
Mo salah alishindwa pale chelsea ila anang'aa sahvi Liverpool.Swala la kwamba alifanya vizuri alipokuwa akicheza na Al Ahli, Vita nk sio kielelezo kwamba alikuwa mzuri kihivyo.
Leo hii hata Bayern wacheze na Coastal Union au Kagera bado tu kuna wachezaji wa hizo timu wataonekana ni nyota lakini sasa wapereke Ujerumani kama watanyanyua hata mguu uwanjani.
Tunamuona ni mzuri kwa sababu ligi yetu ndio kiwango chake kilivyo lakini akienda kwa wajuaji kutuzidi hana lolote, anabaki kuchoma [emoji535] tu.
kacheza misimu ngapi ,na katoa assists ngapi kwenye ligi yetu ?mechi ngapi za kimataifa alifunga na kutoa assist,tunaweza kusema mchezaji hatuwezi kumpima kwa mechi lakini kwenye ligi yetu alikuwa Kati ya wa wachezaji wazuri na hata aliingia ,Kwenye kikosi bora ya CAF cha mwezi na week halafu unasema siyo mzuri?Swala la kwamba alifanya vizuri alipokuwa akicheza na Al Ahli, Vita nk sio kielelezo kwamba alikuwa mzuri kihivyo.
Leo hii hata Bayern wacheze na Coastal Union au Kagera bado tu kuna wachezaji wa hizo timu wataonekana ni nyota lakini sasa wapereke Ujerumani kama watanyanyua hata mguu uwanjani.
Tunamuona ni mzuri kwa sababu ligi yetu ndio kiwango chake kilivyo lakini akienda kwa wajuaji kutuzidi hana lolote, anabaki kuchoma 🌽 tu.
Ndo yeye huyo,hapo anaelekea wapi Msimbazi au Jangwani?