Chama ameshavunja mkataba na Berkane na anakaribia kurudi Simba

Salah alippfeli Chelsea
KDB pia
Lukaku alivyofeli UTD.
Hujifunzi kitu? Au umeamua tu?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hata Messi alipohamia PSG mambo yalikuwa magumu sana mwanzoni!! Hata sasa hajashika makali yake ya awali.
 
Ondoa utopolo hapa. Hakuna kitu umeongea. Kwani FT9 alipo fail Chelsea ilimaanisha ile ilikua team kubwa kuliko Liverpool na jamaa ni michezaji wa team ndogo? Una dalili zote za kuja kuwa mchawi uzeeni
Mbona mimi ni mzee na sijawa mchawi na sasa nasubiri kufa tu.

Ila ukweli ni kwamba huyo Chama mpira wake ni mdogo sana na ndio maana kafeli huko ni mashabiki wa Simba ndio wanamuinua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…