Chama ana roho mbaya sana

Chama ana roho mbaya sana

Fakyuol

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
148
Reaction score
325
Clautous Chama alipoingia tu, akatoa assist Zambia wakachomoa licha ya kwamba Zambia walikuwa pungufu. Huyu kijana tunaishi naye vizuri bongo lakini kaamua kutukazia sisi washikaji zake Tanzania why?

Halafu baadae kuna Watanzania utasikia wakisema maneno ya kuudhi taifa

Kuwa Chama ni fundi wa soccer
 
Clautous Chama alipoingia tu, akatoa assist Zambia wakachomoa licha ya kwamba Zambia walikuwa pungufu. Huyu kijana tunaishi naye vizuri bongo lakini kaamua kutukazia sisi washikaji zake Tanzania why?

Halafu baadae kuna Watanzania utasikia wakisema maneno ya kuudhi taifa

Kuwa chama ni fundi wa soccer
hatuna timu,inafika hatua chama anaachwa tuu
 
Habari kwa yeyote anayeweza kunisaidia, aliyesoma masomo ya social work katika kupata title ya research jmni naomba msaada.
 
Clautous Chama alipoingia tu, akatoa assist Zambia wakachomoa licha ya kwamba Zambia walikuwa pungufu. Huyu kijana tunaishi naye vizuri bongo lakini kaamua kutukazia sisi washikaji zake Tanzania why?

Halafu baadae kuna Watanzania utasikia wakisema maneno ya kuudhi taifa

Kuwa chama ni fundi wa soccer
Wachezaji wa timu yetu walikuwa wanashikilia bomba wakapigwa na kitu kizito ndiyo eti wanazinduka na kuanzia kushangilia
 
Acheni visingizio. Pambaneni kuikabili Congo DRC.

Tanzania igeni mfano wa comeback aliyoifanya Mauritania [emoji1163] dhidi ya Algeria [emoji1026].

Wazelendo liombeeni taifa lenu.

Nalog out.
 
Back
Top Bottom