Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
My take:
anajua kuisumbua Simba hasa pale anapokuwa hajapewa hela yakeView attachment 2264963
Chambuzi la mchongoHapa umeongeza USHABIKI wako!
Hadi Manara arudishwe mkuu na kuombwa radhi, imepoteana mnooooooSimba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Wewe kweli ni redio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Watampeleka timu B akakuze kwanza kiwango!Aje yanga tu kwa kwa laki saba