ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huyu mpira ushaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe rudi kwenu Burundi tu, Kiswahili gani hiki unaandika?Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Aende yanga princess hana kiwango cha kucheza team ya viwango vya CAf kama YangaWatampeleka rimu B akakuze kwanza kiwango!
Hajawaji kuwahi nao mpira makolo huwa yananunua mechi na kuloga na kupulizia sumu vyumba ndo maana ikaonekana anajua, hamna kitu palehuyu mpira usha isha
usiwe unani quote na maneno yako ya kikehajawaji kuwahi nao mpira makolo huwa yananunua mechi na kuloga na kupulizia sumu vyumba ndo maana ikaonekana anajua, hamna kitu pale
hopelessusiwe unani quote na maneno yako ya kike
Una akili weweKwakweli aende kafanya kazi kubwa sana shukran apewe za kutosha. na aagwe kwa heshma.
Utopolo mlikuja mkayashtukia yale maduka mkayatimua, nadhani karibu yote mmeshayaondoa!hajawaji kuwahi nao mpira makolo huwa yananunua mechi na kuloga na kupulizia sumu vyumba ndo maana ikaonekana anajua, hamna kitu pale
unajifunza kuandika au nyinyi ndo wale wanafunzi wa memkwa?Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Isiwe amerubuniwa na Uto kwa mlango wa uani.Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha.
Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya.
My take:
Kama ni kweli naona kabisa Chama akipita njia zilezile za Okwi miaka ile alivyokuwa anajua kuisumbua Simba hasa pale anapokuwa hajapewa hela yakeView attachment 2264963
Imepoteana kivipi? Kwa Chama kuomba kuondoka au kwa Yanga kuchukua ubingwa mwaka huu? Lete hoja zinazo prove statement yakoSimba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Kwasasa uwezi elewa subiri dirisha la usajili lifungwe ndio utanielewa. Ni ngumu kumwelewesha mshabiki wa Simba Kwa Sasa.Imepoteana kivipi? Kwa Chama kuomba kuondoka au kwa Yanga kuchukua ubingwa mwaka huu? Lete hoja zinazo prove statement yako
😂😂Aende tu, umri unaaga. Watakuja wengine, dunia haito simama. Simba inakua siku hadi siku.
Hizi story mnazitoaga wapiTETESI: Pablo afungua kesi CAS kumshtaki chama na simba kwa ngumi alizopigwa na clatous chama half time kwenye mechi dhidi ya mabingwa watarajiwa wa CAF mwaka huu yaani yanga
Pablo alitaka simba ichukue hatua lakini simba waksingizia chama anaumwa kumbe anadai milioni 300 alizojikomboa nazo Berkane na hajalipwa
Kama haitoshi chama alienda ofisini kwa Mo Dewji akampiga mangumi secretay wa Boss la mchongo Mo dewji baada ya kunyimwa kumuona ili kulipwa pesa zake