Hizi ni akili za kulia mandazi. Umejuaje kama hakuomba msamaha?Mbumbumbu hawajielewi
Wanamsamehe bila ya kukiri kosa na kuomba samahani
Chama ni mkubwa mbumbumbuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufuatilii habari ndio maana hujui chochote,wenzako tunafahamu tangu wiki mbili zilizopita kuwa Chama aliomba radhiMbumbumbu hawajielewi
Wanamsamehe bila ya kukiri kosa na kuomba samahani
Chama ni mkubwa mbumbumbuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba tuone barua yake ya kuomba msamahaKiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo ut
Credit-Nassib Mkomwa
Yaani kasamehewa bila kuomba radhi?Mbumbumbu hawajielewi
Wanamsamehe bila ya kukiri kosa na kuomba samahani
Chama ni mkubwa mbumbumbuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi umemwomba radhi ndugu Chama kwa niaba ya wanachama wote naye ameikubali iyo radhi ambayo imeambatana na picha ya viongozi wakiwa na baadhi ya wanachama maarufu wakionekana wamepiga magoti kusisitiza maombiyao ya msamaha.Yaani kasamehewa bila kuomba radhi?
Sio makosa yote niyakuvunja mkataba na mchezaji.au ungewasaidia simba kumlipa?Mbumbumbu hawajielewi
Wanamsamehe bila ya kukiri kosa na kuomba samahani
Chama ni mkubwa mbumbumbuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemsamehe, au wamemgwaya!! Na hasa baada ya timu kuanza kupata matokeo ya kusuasua, tangu walipomsimamisha!!!Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.
Credit-Nassib Mkomwa
Kuna kibonzo mtandaoni inayosha sana kujua CCC mkubwa kuliko taasisi ya ThimbaKiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo.
Credit-Nassib Mkomwa