Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Amevaa jezi ya Yanga leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika huku unabubujikwa na machozi.Hamna kitu hapo hiyo jezi itamlemea hatan'gaa kama alivyokuwa na uzi mwekundu wa mnyama, nature inayo majibu zaidi.
Kajamaa kameamua kujidhalilisha.
Li timu li bovu kama Yanga sio la kujuhusisha nalo.
Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!Unaandika huku unabubujikwa na machozi.
Sema pesa shikamoo.
Kapendeza kweli kweli, ile mi jezi mwingine ilikuwa haimtoi kabisa.
Msimu huu wapinzani watateseka sana
Ndiyo wakati wenu huu wa kumsifia Mo! Ila baadaye mkianza kupoteana kwenye ligi; kelele zinaanza tena! Watu wa ajabu sana nyinyi.Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!
Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.
Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Msimu jana mlimuiba mchezaji airport kiko wapi, mkisajiri ukuta wa yeriko tuambie tarehe 5 november 2023 mlifanywa nini kwa mkapa?Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!
Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.
Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Muda utatoa jibuHamna kitu hapo hiyo jezi itamlemea hatan'gaa kama alivyokuwa na uzi mwekundu wa mnyama, nature inayo majibu zaidi.
Tunasubiria muunganiko tu timu fulani la wazee wasije uwanjaniUmeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!
Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.
Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Usaliti wa hali kuu