Chama avaa jezi ya Yanga kwa mara ya kwanza

Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!

Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.

Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Ligi ikifika kati kati mnaanza kumtukana na kumtisha Mzee wetu Mangungu,na msimu ujao sisi kama Yanga tumeapa kuwa hatutakaa kimya Ngungus Boy akidhalilishwa.
 
Mangungu mtu wetu muda mrefu sana, tunafahamiana tangu utotoni vyura msitugombanishe.

#Simba amani tele. Ndio slogan mpya kwa wiki hii.
 
Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!

Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.

Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Ndivyo mo anavyokupatieni hapo,pacome na aziz ki walisajiliwa kutoka ligi ya ivory coast wakiwa MVP,au ufuatilii mpira
 
Attachments

  • IMG_20240710_121352.jpg
    IMG_20240710_121352.jpg
    15.4 KB · Views: 3
THANK YOU UTOPOLO🤣🤣🤣🤣
madaktari wa moyo mkae tayari tayari jamani.
 
Back
Top Bottom