Chama avaa jezi ya Yanga kwa mara ya kwanza

Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!

Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.

Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Ndiyo wakati wenu huu wa kumsifia Mo! Ila baadaye mkianza kupoteana kwenye ligi; kelele zinaanza tena! Watu wa ajabu sana nyinyi.
 
Umeona alichokifanya Mo au ndio umeamka usingizini sasa hivi?!

Mchezaji bora wa ligi kuu Ivory Coast yupo kambini Misri.

Beki bora wa kushoto ligi kuu Burkina Faso nae yupo kambini Misri, hapo kweli pesa za Mo shikamoo!.
Msimu jana mlimuiba mchezaji airport kiko wapi, mkisajiri ukuta wa yeriko tuambie tarehe 5 november 2023 mlifanywa nini kwa mkapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…