Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waambiwe sio Heche peke yake. Tupo wengi tu tunaowaita hivyo (chama cha kwenye brief case)!Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
migambo wanaruka na kukanyagana,Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Wacha wee!!😂ndo nakisikia leo hicho chamaMwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Uthibitishie umma kuwa sii chama cha mfukoni,anza kutuambia kwanini mridhiane na ccm na maridhiano hayo yana husu nini?Kushindwa kufanya hivyo huo utakuwa ni uthibitisho wa chama cha mfukoni,tena hata sii weniila mfukoni mwa ccm!Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Jizi na lipenda rushwa kila wakati liko mtandaoni kuendeleza harakati za kula rushwamigambo wanaruka na kukanyagana,
eti hao ndio wanaota siku zingine wawe viongozi wa serikali
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John HecheMwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Tafuta kazi halali unamsifia bosi wako mpaka mwenyewe anaona aibu.ok dada🐒
punguza makasiriko na itapendeza zaidi 🐒Tafuta kazi halali unamsifia bosi wako mpaka mwenyewe anaona aibu.
Chama hakijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji kwa miaka 30 sasa ni cha nini hicho. Wanaonekana kwenye press za kuilaani Chadema tu.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.