Chama cha AAFP chamjia juu Heche kukiita "chama cha mfukoni"

Hiki ndio chama cha uvunguni kabisa, ndio nakisikia leo
 
Aaah kumbe ni Shani alafu Kitumbua?
 
Baada ya Uchaguzi hivi vyama avizungukagi hata mikoani kuongea na wapiga kura wake pia sijawahi kuona mwanachama wa hiki chama
 
Tatizo Chadema wana kelele mno na kupiga huko kelele wanafikiri wapo peke yao.
 
Mtu anaitwa kitumbua HUYO NI KITUMBUA CHA KATIKATI YA MAPAJA YAKE
 
Ni kweli kakosea ni chama cha sidiria
Naona think tank la chadema linazungumza, linamwaga madini. Kwa maneno mengine, huyo ndo waziri katika serikali ya chadema ya mwaka 2090 anamwaga mapoint hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…