beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Chama hicho kimelitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani endapo kuna kosa au kuwaachia bila masharti maafisa wake watatu waliokamatwa jana.
Arodia Peter (Afisa Habari), Dotto Rangimoto (Afisa Habari Msaidizi) na Dahlia Majid (Afisa Uchaguzi) walikamatwa jana katika Ofisi za ACT-Wazalendo Magomeni jijini Dar.
Kwa mujibu wa Chama hicho, taratibu za dhamana zimeshindikana baada ya Jeshi la Polisi kukataa kutoa dhamana.