Chama hicho kimelitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani endapo kuna kosa au kuwaachia bila masharti maafisa wake watatu waliokamatwa jana.
Arodia Peter (Afisa Habari), Dotto Rangimoto (Afisa Habari Msaidizi) na Dahlia Majid (Afisa Uchaguzi) walikamatwa jana katika Ofisi za ACT-Wazalendo Magomeni jijini Dar.
Kwa mujibu wa Chama hicho, taratibu za dhamana zimeshindikana baada ya Jeshi la Polisi kukataa kutoa dhamana.
Ningekuwa Rais wa Nchi hii kwa hakika na kutoka moyoni mwangu watu kama Zitto, Seif,Tundu na wengineo wa kufafana nao sielewi na sina hakika endapo tungekuwa pamoja hapa nilipo.
Ningekuwa Rais wa Nchi hii kwa hakika na kutoka moyoni mwangu watu kama Zitto, Seif,Tundu na wengineo wa kufafana nao sielewi na sina hakika endapo tungekuwa pamoja hapa nilipo.