PreGE2025 Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure.

Akizungunza na wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho wilayani Maswa mkoani Simiyu, katibu mkuu wa chama hicho Saleh Msumari ameeleza kuwa chama hicho kimefikia uamuzi huo kutokana na makundi hayo kuachwa nyuma katika uchaguzi.

Kwa upande wao Regina Richard na Jane Titus ambao ni baadhi ya wanawake wanachama wa ADA TADEA wilayani Maswa, wameeleza namna ambavyo uamuzi huo wa chama kutoa fomu bure utaongeza chachu kwa wanawake na watu wenye ulemavu kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu

well done ADA TADEA 👍
 
Hongereni sana kwa kutoa kipaumbele kwa hawa ndugu zetu
 
Back
Top Bottom