Kwani mtu anakwenda kwenye Chama fulani cha Siasa kwa sababu zipi ?
Umaarufu, Maslahi au Fikra na Itikadi ?
Kama issue ni Umaarufu nadhani tunahitaji kurudi kwenye drawing board na kujiuliza nini ndio nini..., Sababu wewe unaweza ukawa unajali mazingira ukaingia Chama kinachosimamia mazingira sio sababu kina watu wengi bali values zake zinaendana na fikra zako.