Mgombea Urais wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga leo anaendelea na kampeni zake Wilayani Kilindi katika Kata za Songe, Madoti, Kwamwambe, Mafisa, Kisangasa na Kwadiboma
Wakati akifanya Kampeni zake jana, Mgombea huyo amewaomba Wananchi kumpigia kura ili aweze kuiongoza Tanzania. Pia ameahidi kuondoa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji
Picha: Mgombea akiwa kwenye kampeni jana Septemba 20, 2020