Chama Cha Democrat ndio wapenda mabadiliko USA, ona hii

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
1. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mkatoliki Kennedy.

2. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mwafrika Obama.

3.Ndio wamekuwa na waziri wa kwanza mwafrika wa mambo ya nje. Powell.

4. Ndio wamekuwa na waziri wa ulinzi mweusi wa kwanza . Huyu jenerali wa Sasa.
 
Na Mkuu wa kwanza wa Majeshi Mweusi wa Marekani alikuwa Collon Powell wakati wa Utawala wa Republican chini ya Bush Sr.
 
Hayo mabadiliko yao yamekusaidia nin wewe mwafrica?
 
Unsposema mabadiriko nakubaliana na wewe. Lakini hujasema mabadiriko yenye faida kwa wamarekani au yenye hasara kwao.

Kwangu mimi chama cha DemocRAT ni chama chenye mabadiriko yenye lengo la kuharibu ustawi wa Marekani kuanzia ngazi ya familia. Hawa ndiyo waliotunga Sheria za kuhalalisha utoaji mimba, kuruhusu wahamiaji harama kuingia kiholela, kukaa kitambulisho na kupigia kura na mengine yote yenye lengo ya kuwahaikikishia wanabaki madarakani na mengine mengi yenye nia ya kuzorotesha marekani katika nyanja zote.
 
Na hawa ndio wanaosapoti ushoga.
 
Mabadiliko ya kisiasa labda na tena sio kwa nyanja zote maana wao hawataki voters ID just b'se it favors them.Ila tukisema mabadiliko yenye faida kwa ustawi wa jamii na taifa la marekani,Democrats are destructionists....
 
Collin Powell ni Republican
 
Namba tatu,imekudiscredit..hukufanya utafiti wa kutosha ..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…