Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti.
Tayar Senate na urais vipo chini ya Republicans, Bado House / Baraza la wawakilishi ili kuikamata nchi kikamilifu
Awali kabla, Senate ilikuwa chini ya wademokrati chama cha Kamala Harris
Leo hii uchaguzi ukiwa bado unaendelea, matokeo ya mapema yamewapa ushindi Republicans kwa kushinda viti 51, Democrats 42, bado matokeo ya viti 7