Hongera zao. Kama Trump atashinda atakuwa na wepesi wa kupitisha agenda zake.Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
View attachment 3144941
Awali kabla, Senate ilikuwa chini ya wademokrati chama cha Kamala Harris
Leo hii uchaguzi ukiwa bado unaendelea, matokeo ya mapema yamewapa ushindi Republicans kwa kushinda viti 51, Democrats 42, bado matokeo ya viti 7
senate ina mamlaka gani, nieleweshe pleaseMods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
View attachment 3144941
Awali kabla, Senate ilikuwa chini ya wademokrati chama cha Kamala Harris
Leo hii uchaguzi ukiwa bado unaendelea, matokeo ya mapema yamewapa ushindi Republicans kwa kushinda viti 51, Democrats 42, bado matokeo ya viti 7
Trump ameshashindaHongera zao. Kama Trump atashinda atakuwa na wepesi wa kupitisha agenda zake.
Ya kumuimpichi Gachagua 😂😂senate ina mamlaka gani, nieleweshe please
Ashinde mara ngapi?Hongera zao. Kama Trump atashinda atakuwa na wepesi wa kupitisha agenda zake.