Chama cha EFF na Malema walaani vikali sheria mpya dhidi ya mashoga Uganda

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.

 
Weusi wa Afrika ya kusini ni vibaraka tu wa wazungu

Afrika kusini ndio nchi pekee Afrika ambayo imeruhusu Ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja

Na sababu kuu Afrika kusini ndio nchi yenye wazungu wengi kuliko nchi yeyote hivyo huo ujinga wa wazungu wenzao ulaya wameupeleka Afrika ya kusini

Wazungu walichofanya ni kuwapa waafrika nafasi za kisiasa hao akina malema lakini maamuzi yote yanafanywa na wazungu na kuwatupia akina malema wapiga filimbi wa hamelini wabweke hadharani

Ndicho alichofanya Malema kubweka alichoambiwa bweka na wazungu kwenye hilo tamko
 
Ila Julius Malema ni mkombozi ambaye anataka kuunganisha Afrika nzima
 
Maana ya kuitwa Bara la Africa ni pamoja na kuumganisha nguvu ya pamoja ili kunapotokea tafrani, basi tuungane kupinga uonevu!

Kwa namna hii, inatosha kabisa kusema, Africa ni jina tu ila kunapikuja jambo linaloihusu Africa, basi kila nchi ipambane kivyake,

Niko na M7

Hao Wasauzi ni watu wapumbavu na hawawapendi weusi wenzao, ni wabaguzi na makatili kwa watu weusi
 
Hata Malema anawachukia weusi?
 
Africa kusini ndio senta ya wasagaji

Ukienda bar kila demu yupo na demu wake ole wako umguse

Malema sio mwanaharakati anawachukia makaburu tu ila ni mshenzi fulani
Acha utani
 
Malema ana nafasi gani kisiasa serikalini??kuna waanzilish wa ushoga africa kuliko waarabu?chunguzq mikoa aliyokaa muarabu sana na kiwango cha ushoga
 
Kuunganisha Afrika, umesahau alisema Kiswahili kiwe lugha ya Afrika?
Viongozi wa Umoja wa Africa ndio walisema hilo na kuagiza utekelezaji uanze ambapi kwa sasa vikao vyote vya viongozi wa Afrika kiswahili ni.moja ya Lugha inayotumika kwenye mikutano
 
Niko na M7

Hao Wasauzi ni watu wapumbavu na hawawapendi weusi wenzao, ni wabaguzi na makatili kwa watu weusi
Akina Malema kwa ubaguzi wao kwa waafrika wenzao ndio maana wanapinga waafrika wenzao wa Uganda

Afrika kusini huwezi ona wazungu wakichoma maduka na kuwafanyia vurugu waafrika walioko.kule.toka nchi zingine

Wanaofanya hivyo ni waafrika kusini weusi mibaguzi sana

Tanzania sijui kwa nini tuliwasaidia kupinga kinachoitwa ubaguzi wa rangi Afrika ya kusini tungewaacha

Ona sasa baada ya wao kupata uhuru ndio wamegeuka wabaguzi wakubwa kwa waafrika wenzao walioko.afrika ya kusini wa kutoka nchi zingine
 
Chama cha EFF ambacho kiongozi wake ni Julius Malema kinachukuliwa na wengi kuwa ndio chama cha 'ukombozi' wa mtu mweusi kimetoa tamko kulaani sheria ya dhidi ya ushoga iliyopitishwa na Bunge la Uganda.

View attachment 2564593View attachment 2564594
The demise of Julius Malema has arrived so timely, we thank you God for his evil revelation on his sexual orientation.
 
Andiko lako nalo ni la kibaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…