Chama cha kataa ndoa kidumu

Chama cha kataa ndoa kidumu

Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.

Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu, etc ni mwanaume gani asieridhika na K moja au anataka nibinuke kichwa chini K, juu ndiyo aridhike?

Vijana ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa fikirieni x 2

Ni vema kuishi peke yako
Nakubariana na wewe bora kuishi peke yako kama ni kupunguza upwilu kaokote barabarani ukimaliza kata kushoto msijuane. Ule mkutano wa Beijing ulihalibu akili za wanawake. Mtu kaolewa kalafu hataki kupelekewa moto, arudi kwao bila kelele. Hapo jamaa angetafuta mchepuko ili ampunguzie dozi huyo mke, bado angepiga kelele mme wake siyo mwaminifu. Akili za wanawake hazieleweki.
 
unajua jf ina members wangap,, kwaio sisi wote tukatae ndoa kisa hao maandazi wawili!!???
Kati ya ndoa zinazovunjika Tanzania, wanawake ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika halafu wana nyanyua midomo kumdhalilisha mme wake ili apate support ya maandazi menzake.
 
Usipooa wewe ujue utaolewa tu hakuna jinsi nyingine. Kila siku magari yanapata ajali na watu wanakufa jee utaacha kupanda gari kwa vile umeona ajali ya gari?
 
Kati ya ndoa zinazovunjika Tanzania, wanawake ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika halafu wana nyanyua midomo kumdhalilisha mme wake ili apate support ya maandazi menzake.
sawa kataa ndoa
 
Back
Top Bottom