GE2025 Chama cha Kim Jong Un chashiriki mkutano wa CCM wa kuzindua ilani ya chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Yaani imefikia point where CCM inachukua mafunzo ya uongozi kutoka North Korea

Kwanini CCM isingekaribisha vyama vyenye demokrasia kama Republicans na Democrats kutoka au Labor Party kutoka Uingereza?

Ni hatari sana kwa chama tawala kujihusianisha na MADIKTETA.

Nimesikitika na kuogopa sana. Nchi yetu haiendi kwenye direction nzuri

ASANTE MAMA SAMIA , RAIS WETU MPENDWA, NYAKATI ZILE BABA ZETU, WALIKUWA NA URAFIKI MKUBWA NA RAIS KIM IL SUNG, WALITUSAIDIA SANA KATIKA KUJENGA UJAMAA MAKINI WA KUJITEGEMEA, HUKU NORTH KOREA IKITUSAIDIA SANA KATIKA MASUALA YA KILIMO, HAWA NI MARAFIKI WA DAMU, TWENDENI NAO!
N. B, mfumo wa democracy umeletwa na wamagharibi ili uwe kama - - - >>engine catalyst yakusitisha umakini wa kujenga nchi,<<--- China waliukataa waangalie walipo?
Angalia nchi kama Kenya kila siku ni mchaka mchaka wa wanasiasa muda wa kujenga taifa haupo, (Kenyan spend much time on political rivals) which shits!, twende na demokrasia yetu jinsi ilivyo bila CCM kuondoka madarakani.
 
Wakuu,

Yaani imefikia point where CCM inachukua mafunzo ya uongozi kutoka North Korea

Kwanini CCM isingekaribisha vyama vyenye demokrasia kama Republicans na Democrats kutoka au Labor Party kutoka Uingereza?

Ni hatari sana kwa chama tawala kujihusianisha na MADIKTETA.

Nimesikitika na kuogopa sana. Nchi yetu haiendi kwenye direction nzuri

Hicho chama kimeanza kuingilia mambo yetu ya ndani?
 
Wakenya wakitusema ni haki 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom