Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hiki Chama bado sijakipa jina.
Sheria zake;
1.Kada atakuwa hana hiari ya kutokuwa na tabia nzuri. Yoyote atakayekuwa na tabia mbaya atakuwa amefanya kosa.
2.Kama kada akifukuzwa kwa kufanya kosa lazima aombe msamaha. Asipoomba msamaha atakuwa amefanya kosa.
3.Kada,kama ukiombwa msamaha lazima usamehe. Usiposamehe utakuwa umefanya kosa.
4. Kada mwenye tabia nzuri asifukuzwe. Yeyote atakayemfukuza atakuwa amefanya kosa. Na,kada,yule ambaye hana tabia nzuri huna hiari ya kutomfukuza. Usipomfukuza utakuwa umefanya kosa.
5. Maslahi atakayopata kada katika Chama ataelezwa mara baada ya kuingia katika Chama. Asielezwe mapema kwa hofu kwamba anaweza kuogopa kujiunga na Chama. Ataambiwa maslahi yake yatategemea uwezo wa Chama. Yeyote atakayeeleza maslahi kabla atakuwa amefanya kosa .
6.Unapompokea kada mpya katika Chama lazima wawepo kada wasiopungua kumi,ama sivyo kosa litakuwa limefanyika. Kada wapya wapokelewe na kundi la kada kumi au zaidi.
7. Hakuna atakayeingia katika Chama bila ridhaa yake. Atakayempokea kada bila ridhaa yake atakuwa amefanya kosa.
8.Kada ambaye hajadumu miaka kumi katika Chama haruhusiwi kupokea makada wapya. Akifanya hivyo atakuwa amefanya kosa. Naruhusu kada ambaye amedumu miaka kumi na zaidi.
9.Kada asiye na busara na uzoefu asipokee makada wapya. Kada ni lazima awe amedumu miaka kumi. Ama sivyo kosa litakuwa limefanyika.
Naruhusu awe amedumu miaka kumi au zaidi.
10. Ushauri usitolewe na kada ambaye hajadumu miaka kumi katika Chama. Akitoa ushauri kosa litakuwa limefanyika.
11.Mtu mwenye magonjwa haya; ukoma,majipu,kifafa,magonjwa ya ngozi asiruhusiwe kuingia katika Chama. Ukimruhusu utakuwa umefanya kosa.
12. Usimruhusu kibaka aingie katika Chama. Ukimruhusu utakuwa umefanya kosa.
13.Kijana mwenye umri chini ya miaka kumi na nane usimruhusu kuingia katika Chama. Ukimruhusu utakuwa umefanya kosa.
24. Kama mtu aliyemuua mama yake kama hajasajiliwa katika Chama,asisajiliwe. Kama amesajiliwa afukuzwe. Akisajiliwa kosa litakuwa limefanyika.
25. Kama mtu aliyemuua baba yake hajasajiliwa katika Chama, asisajiliwe. Kama amesajiliwa, afukuzwe. Ukimsajili utakuwa umefanya kosa.
26.Kama mtu aliyemuua kada wa Chama hajasajiliwa, asisajiliwe. Kama amesajiliwa, afukuzwe. Ukimsajili utakuwa umefanya kosa.
27.Kama mtu aliyemjeruhi Mwenyekiti wa Chama hajasajiliwa, asisajiliwe. Kama amesajiliwa, afukuzwe. Ukimsajili utakuwa umefanya kosa.
28.Mfitinishi kama hajasajiliwa, asisajiliwe. Kama amesajiliwa, afukuzwe. Ukimsajili utakuwa umefanya kosa.
29.Mtu ambaye mikono yake imekatika:au miguu yake imekatika;au mikono yake na miguu imekatika: au masikio yake ymekatika: au pia yake imekatika:au masikio yake na pia yake vimekatika;au vifole vyake vimekatika: au kucha zake zimebanduka;au ni kibyongo: au ni mbilikimo; au ana goita: au ameanfikwa katika gazeti kwamba ni mwizi,au ana matende:au anaumwa sana: au ameparalyze upande mmoja: au ni kiwete: au ni kipofu' au ni bubu: au ni kizuwi; au ni kipofu' na bubu: au ni kizuwi na bubu; au ni kipofu',kizuwi na bubu: adipokelewe katika Chama. Akipokelewa, kosa litakuwa limefanyika.
30.Usimpe ushauri mtu ambaye hana dini. Ukifanya hivyo kosa litakuwa limefanyika.
31.Usiishi kwa kushauriwa na kada ambaye hana dini. Ukifanya hivyo kosa litakuwa limefanyika.
32.Usishauriwe na kada ambaye hana busara,hana uzoefu. Ukifanya hivyo kosa litakuwa limefanyika.
That's it Finito .
Tumeshaanzisha Chama .
Kuhusu watu wanaotaka kuanzishwa magenge ya uhalifu,nao pia lazima wafuate sheria hizi.