Uchaguzi 2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

Uchaguzi 2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

Vyama vyote ni vya wachaga. CDM cha Mtei na mkwe wake Mbowe. Nccr cha Mbatia. TLP cha Mrema.
Wote wachumia tumbo tuu hao.
CCM yeneyewe ni ya Genge la Mkapa, wanachaguana nani ae keki ya nani asile.
Huyu mupe yule murke.

Wako wapi Godfrey Mgimwa na Omari Kigoda
 
Na utamsikia mtu yule akisema Mrema ni mpinzani halisi,ni mzalendo wa taifa hili na hata kwenye Kampeni zake hakuwahi kunitukana.
 
Wachagga na pesa ni kama matahira fulani.

Mbatia na Mrema wanatia sana AIBU kwa vijicheo+vijisenti vya kutupiwa kama makombo chini ya meza
Umemsahau mbowe alivyolamba B7 kwa Lowassa 2015
 
Umemsahau mbowe alivyolamba B7 kwa Lowassa 2015
Sasa hivi naona karudi CCM krudisha pesa zake alizompa Mbwe kwaajiliya usalama ake na watoto wake.

CCM na wazazi wako endeleenikuruka juu mkiimba baba baaaba babaa huyoooo .........................

Maana mmezaliwa kuwa misukule ya wanaojua kuwatumia.

Ni nyakati za kuuzwa sasa kwa wanasiasa.

Mchungaji kuuza waumini wake.

Sheikh kuza waumini wake.

Wasanii kuuza mashabiki zao.

Ni Zubaa UUZWE.
 
Chama cha TLP kwa hiyari yake kimeridhia na kulipitisha jina la Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais mwaka 2020 baada ya kuona ndiye Kiongozi anayeweza kuwavusha Watanzania.

Hii inaonesha kuwa siyo wana CCM tu ila hata vyama vya upinzani vinaafiki kuwa Kiongozi bora hawezi kutoka nje ya CCM.
 
Maajabu hayaishi Tanzania [emoji3][emoji3]
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party na kwa majibu wa maelezo yake Chama cha Tanzania Labour Party kilimpitisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa kupiga kura zaidi ya mara moja na mara ya pili hakuna kura iliyoharibika hata moja.
 
Aaaaaah Mrema na Mwinyi nawaona wamezeeka vibaya sana achilia mbali Cheyo
 
Back
Top Bottom