CCM yeneyewe ni ya Genge la Mkapa, wanachaguana nani ae keki ya nani asile.Vyama vyote ni vya wachaga. CDM cha Mtei na mkwe wake Mbowe. Nccr cha Mbatia. TLP cha Mrema.
Wote wachumia tumbo tuu hao.
Mzee momose cheyo yuko wapi?Na utamsikia mtu yule akisema Mrema ni mpinzani halisi,ni mzalendo wa taifa hili na hata kwenye Kampeni zake hakuwahi kunitukana.
Mzee momose cheyo yuko wapi?
Mzee Wa kutujaza mapesaaa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ni zaidi ya utaaahiraWachagga na pesa ni kama matahira fulani.
Mbatia na Mrema wanatia sana AIBU kwa vijicheo+vijisenti vya kutupiwa kama makombo chini ya meza
Ila wameshapunguza ñguvuLakini Zanzibar wanamgombea kwa maelezo yao
Umemsahau mbowe alivyolamba B7 kwa Lowassa 2015Wachagga na pesa ni kama matahira fulani.
Mbatia na Mrema wanatia sana AIBU kwa vijicheo+vijisenti vya kutupiwa kama makombo chini ya meza
Sasa hivi naona karudi CCM krudisha pesa zake alizompa Mbwe kwaajiliya usalama ake na watoto wake.Umemsahau mbowe alivyolamba B7 kwa Lowassa 2015
Ni Chama cha Siasa chenye usajili kisheria kama vilivyo vyama vingine ya siasa
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party na kwa majibu wa maelezo yake Chama cha Tanzania Labour Party kilimpitisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa kupiga kura zaidi ya mara moja na mara ya pili hakuna kura iliyoharibika hata moja.Maajabu hayaishi Tanzania [emoji3][emoji3]