Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!
Tupe authority ya DC kumsimamisha kazi Daktari. Alishindwa nini kuwasiliana na mamlaka yake ya usimamizi ikatoa tamko sahihi? Kesho Mwenyekiti wa CCM Kata akimsimamisha kazi nesi utasema ni sahihi Kwa vile ni Chama tawala?
 
Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!
Mkuu hii ninkweli kabisa

Nshakutana na visa vya madaktari wazembe si chini ya mara moja
 
Baadhi ya Wajinga..wanatuchukuliaga poaaa sanaaa kwakua ni viongozi !!!

Watu wajue, DAKTARI nimwanadamu anayependwa Zaidi na MUNGU.
Ndiyo maana mnakuwa wajinga kwa kujaza ujinga vichwani nani amekwambia kwamba daktari anapendwa zaidi ya Mol ? Anayependwa zaidi na Mola ni mchamungu pekee.
 
View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?
Kwani DC hana mipaka ya kazi au HAJUI utaratibu? au wao ma-DC ndo muingu wadogo? Amejisahau kwamba kumlazimisha dakt. kunaweza kuleta shida zaidi kwa mgonjwa wake. Ingefaa yy atoe ushauri na sio AMRI/KULAZIMISHA. ni = na matumizi mabaya ya madaraka.
 
View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?
Hawa wanasiasa wanaojifanya ingilia fani za watu siku wakiumwa na kulazwa wapeni diazepam plus lasix walale na kujikojolea pia,

Tz ina majitu majinga Sana ,hayajui kwamba kila fani ina ethics zake na taratibu zake wao daily kukurupuka,

Utashangaa mpaka diwani YUPO anakoromea watu,wapuuzi Sana hawa
 
Huyo DC ni mteule wa marehemu? Maana wateule wa marehemu, wengi walikuwa ni vichaa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umesababisha nicheke bure et "vichaa" una maanisha kwamba vichaa ndo walikuwa wanaongoza Nchi.
 
Sijui nn kimetokea lakini nachokiona hapo usikute mgonjwa alikuwa ana hali mbaya sana inayohitaji huduma hapohapo lakini akapigwa rufaa,na ukiangalia distance ya hapo mpaka rufaa unaona kabisa mgonjwa hatoboi.saa zingine tuwe tunaangalia ubinadam zaidi kuliko taratibu
 
Baadhi ya Wajinga..wanatuchukuliaga poaaa sanaaa kwakua ni viongozi !!!

Watu wajue, DAKTARI nimwanadamu anayependwa Zaidi na MUNGU.
vipi yule DOCTOR malaya aliye mtia mimba mke wangu niliye mpeleka hospitalini kwake ili ajifungue kisha akatongoza aakamla akamjaza mimba nyingine nikamshtaki kwenu alafu MCT mnasema hana hatia na kibaya zaidi kamuwowa ilhali huyu doctor malaya alikuwa na mkewe na mitoto kibawwo kampa talaka mahakamani ili amuoe tu mke wangu.
NYIE SIO POA NYIE WAJINGA NA MALAYA. DAWA YENU IPO MSITUCHUKULIE POAA

CC: Mshana Jr
 
Mkuu Mwalla; hii imekaaje? yaani mke wako alipelekwa Hospitali ili ajifungue halafu badala ya kupewa msaada wa kujifungua akajazwa mimba? Ulivyoandika " ...aliye mtia mimba mke wangu niliye mpeleka hospitalini kwake ili ajifungue kisha akatongoza akamla akamjaza mimba nyingine..." Kwa hiyo tusemeje - alijifungua akiwa na mimba ya Dakt. au vipi ? (Samahani lakini). Kwa mtiririko sahihi inavyokuwa ni kwamba mkeo alijifungua na baada ya siku zaidi ya 40 alikuwa ameshapona (Involution period) na hivyo alikuwa anaendelea kumnyonyesha mwanao na labda baadaye huyo mkeo kwa hiari yake binafsi (bila shuruti) akarudi kwa dakt. na hapo ndo mimba nyingine ikapatikana. Kama ndo iko hivyo, basi mkeo anayo Hoja ya kujibu. Kama sio hivyo, basi wewe ungelitumia Sheria Mahakamani ukianzia na kuweka Pingamizi kwa ndoa ya Dakt. na huyo mkeo. Pole sana ndg. kwa yaliyokupata.
 
ingia inbox

Back
Top Bottom