#COVID19 Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) waitaka serikali itoe takwimu za Covid-19

#COVID19 Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) waitaka serikali itoe takwimu za Covid-19

Huu ugonjwa kama wa kupuliza? Jana tu haukuwepo leo eti upo dah

Hizi siasa, chanzo zishakuja so lazima ugonjwa uonekane watu watumie kukizi mashart ya watoa chajo
 
Ila MAT wakati wa jiwe hawakua na uwezo wa “kutaka”
 
Hivi wote humu akili yenu ndo hiyo? Eti takwimu za nini? Utawezaje kupambana na adui usiyemwelewa?
 
Je, inawezekana korona ikawa endemic kama ilivyo mafua na malaria, au utakuwa na madhara makubwa kuweza kuhitaji jitihada zaidi za kuuthibiti ikiwa ni pamoja na matumizi ya chanjo?
 
Back
Top Bottom