Chama cha magirlfriend Tanzania

Chama cha magirlfriend Tanzania

Naomba hili tamko lisionwe na michepuko ikaja kutoa tamko pia.
 
Wamewasikia, ni kujitambulisha tuu na kutoa tarehe ya ndoa au na mahari juu.
Maana atajitambulisha halafu anapotea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ningekua girlfriend ningetaka maua na dark chocolate tu...! Too bad siko kwenye chama ko ni mapema sana kutarajia utambulisho
 
ha ha haa....Safi....Siyo kutukojolea tu miuji ya sembe.
 
Naomba kuuliza jamani hivi Valentine Ni siku wa Wapenzi/michumbio day Au nisiku ya Wapendanao wote including family members and friends? Nahisi sijaelewa hapo
 
Hahaha kwelii kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkonyo hoja...soore mkonoo
 
Hapa ni mwendo wa mgegedo tu kutambulishana labda baadae.
 
Naomba kuuliza jamani hivi Valentine Ni siku wa Wapenzi/michumbio day Au nisiku ya Wapendanao wote including family members and friends? Nahisi sijaelewa hapo
Naona mleta mada kakurupuka, haelewi maana ya valentine, ye anafikiri ni kuhusu mambo ya mapenzi tu kumbe valentine ina mapana yake
 
Watu wamechoka kutafunwa tyyy bila ganzi. Poleni sana CHAMATA...
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dina bwana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ningekua girlfriend ningetaka maua na dark chocolate tu...! Too bad siko kwenye chama ko ni mapema sana kutarajia utambulisho

If you look like that avi you have, I'll turn Aladdin and make your wishes come true.
 
Hee hiyo siku ya Valentino ishabisha hodi!! dah siku zinaenda..
 
Back
Top Bottom