GE2025 Chama Cha Makini Chawaonya Watanzania Kutojihusisha na Maandamano Siku ya Uchaguzi

GE2025 Chama Cha Makini Chawaonya Watanzania Kutojihusisha na Maandamano Siku ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura kisha kurejea majumbani kusubiri matokeo kwa amani.

Kauli hiyo imetolewa na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Coster Jimmy Kibonde, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kaburi la hayati John Pombe Magufuli, akiwa ameambatana na mgombea urais wa Zanzibar na mgombea mwenza wa chama hicho leo Oktoba 18, 2025.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom