Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan.

Je, ni maeneo gani ungependa CCM iyazungumzie katika mikutano hiyo.
 
Fuso bado zipo kidongo chekundu ?
 

Wewe usiwatafutie balaa wenzio la kupigwa mawe na wananchi wenye hasira na machungu! [emoji33]
 
WAANZE MIKUTANO WAKATI HAWAKUWAHI KUZUILIWA?
 
Nawezaje kupata vichekesho vingine kama Hivi??
 
Mbona wao ccm miaka yote Saba wanafanya mikutano.
 
Kwani ni lini CCM iliacha kufanya mikutano hiyo mpaka ianze sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…